iq kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikola24

    Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

    KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius! Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
  2. Davidmmarista

    Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

    Watu wenye IQ kubwa mara nyingi huonyesha tabia fulani zinazowatofautisha na wengine. 1. Udadisi wa hali ya juu – Wanapenda kuuliza maswali na kutaka kujua jinsi mambo yanavyofanya kazi. 2. Ufahamu mpana – Wanajua mambo mengi na wana uwezo wa kuelewa mada mbalimbali kwa haraka. 3. Uwezo...
  3. chizcom

    Hivi kwa nini, Watu wenye IQ kubwa ushindwa kueleweka kwenye kwenye jamii yenye IQ ndogo na mwisho wa siku utumika kama msaada mbeleni?

    Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele. Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa. Historia inasema kulikuwa na watu...
  4. W

    Wanafunzi wenye IQ kubwa ni wale waliopata division 1 shule za kata hasa vijijini, wana upeo mkubwa wa kusoma bila walimu, tuition, past papers

    N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake. Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa zaidi, sawa au kuwakaribia hawa waliosoma kwenye mazingira wezeshi na yenye kila nyenzo zinazohitajika...
  5. matunduizi

    Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  6. Rorscharch

    Nimeanza Kuamini Ulegelege Wetu Waafrika Kama Bara Katika Maendeleo Unatokana na Wastani wa IQ ya Umma Kuwa Chini Sana (Sehemu ya II)

    Makala hii ni muhtasari mpana wa sehemu ya kwanza ya mjadala kuhusu mchango wa wastani wa IQ katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya bara la Afrika. Katika sehemu ya kwanza, tulichambua jinsi wastani wa IQ kati ya makundi ya Mongoloids, Caucasoids, na Negroids unavyoweza kuathiri maendeleo...
  7. Mi mi

    Nchi yenye IQ kubwa Duniani

    Countries. Rank Country/Region IQ 1 Hong Kong * 106 2 Japan 106 3 Singapore 106 4 Taiwan * 106 5 China 104 6 South Korea 103 7 Netherlands 101 8 Finland 101 9 Canada 100 10 North Korea 100 11 Luxembourg 100 12 Macao * 100 13...
  8. G

    Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

    Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili. Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake...
Back
Top Bottom