Iran imezindua meli yake ya kwanza ya kubeba droni, ikisema inaweza kufanya operesheni katika bahari za mbali kutoka bara la nchi hiyo, shirika la habari la IRNA liliripoti Alhamisi.
Kwa mujibu wa taarifa, meli hiyo ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi inaweza kubeba vikosi vya droni, helikopta, na...