Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya.
Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua zinamtosha kuona madhara ya vita na wairani? Je Ukraine waliozoea kubebwa sasa wanajiandaa kukubaliana mbabe...
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu.
Shambulizi hilo kutoka kwa Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita...
Rais wa zamani Donald Trump alisema kuwa Israel inapaswa kulenga vituo vya nyuklia vya Iran alipokuwa akizungumza kwenye tukio la kampeni huko Fayetteville, North Carolina, siku ya Ijumaa.
Matamshi ya Trump yalikuja kama majibu kwa kauli za Rais wa Marekani Joe Biden, ambaye alikuwa ameionya...
Israel ameanza kujibu kidogo kidogo.... Tayari Makamanda watatu wa Irani wameenda Akhera. Si vibaya wameenda ku enjoy life ya huko. Mapambano bado yanaendelea. Khayatollah amefichwa sana.
https://x.com/DrEliDavid/status/1841523855556268509?t=c1jUfEiQD-FrDRjcNB0F7Q&s=19
CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo.
Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo.
Source: CNN
ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake.
Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani...
Waziri Mkuu wa Israel ameongea kwa kutumia vyombo vya habari na wananchi wa kawaida wa Irani na kuwataka wananchi wa nchi hiyo kuachana ama kujitenga na utawala wa nchi hiyo.
Msikilize.
Benjamin Netanyahu
Imenisikitisha sana. Hawa Israel wanawezaje hawa Mayahudi? Hii inawezekana vipi? Putin ashawahi kusema anahisi amezungukwa na Mayahudi wengi sana kwenye Uongozi wake. Kiasi hajui yupi ni yupi
Pata habari kamili.
https://x.com/vcdgf555/status/1840014956416438771?t=bPdKYLq7LtQIsz-5M7226g&s=19
MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji...
Kuna uvumi Iran inawasaidia Israel kwa kujifanya adui wao ili awaingize mkenge adui wa kweli wa Israel, amesema Noah mahakouf Hammed wa Lebanon
Ameshikilia point Tatu kwamba
1. Iran Ana play part ya kupoteza maboya kwa watu Huku Aki side na israel kwa kuvujisha Siri za kambi,
Anatuhumu kwamba...
Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga...
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli.
Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja?
Hawa Wayahudi na Waajemi wan Undugu wa Kiroho Tangu zamani.
Nikurudishe nyuma kidogo.
Mambo mema...
Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi…..
Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran.
Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US.
Kwasababu israel haikuweza...
Sisi mashabiki tunadhani wenzetu wanawaza kupigana tu, kumbe sometimes wanakaa pamoja na kufanya vitu pamoja.
Mwezi february mwaka huu majeshi ya marekani, urusi na Iran yalifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya hindi. Mazoezi hayo yalikuwa hosted na India.
Unaweza kupata taarifa hizo...
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
Iran iliionya Ufaransa Jumatano baada ya jarida la kejeli la Charlie Hebdo kuchapisha katuni zinazomoonyesha kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei ambazo Tehran iliziona kuwa za kashfa.
Jarida hilo la kila wiki lilichapisha katuni kadhaa za kumkejeli kiongozi huyo wa juu kabisa wa kidini na...
Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi,
Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani.
============================
Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
Niaje niaje,
Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN
Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo.
Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.