Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji
(2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..."
Mapendekezo: Ondoa neno "itawajulisha"/"will"na badala yake weka neno "inaweza"/"May" ili Tanzania iweze kuwajulisha Dubai. Ukizingatia...
Sheria ya Ugoni inaeleza ukidakwa na mke au mume wa mtu ni kosa la madai na unaweza kulipishwa fidia kulingana na mahakama itakavyoona.
Sasa najiuliza umepata mwanamke katika mazingira ambayo hujui au hajakueleza au ameficha utambulisho wa ndoa. Wewe kosa lako ni lipi?
Mwanamke ametongozwa...
Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara.
Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
kuna wanaokimbilia ndoa za bomani wakidhani watakuja kuongeza mke lakini hali huwa tofaui
Kile cheti kina sehemu ya ku-tick au kuchagua kuwa ndoa yenu ni ya aina gani. Kuna ya mke mmoja na wake wengi lakini mwanamke inabidi atoe ruhusa kwa ridhaa yake kuruhusu ndoa awepo pekeyake ama kumruhusu...
Akichangia hoja katika uchambuzi wa Bajeti Kuu leo Bungeni, Mbunge wa Iringa Mjini amesisitiza kuwa Sheria zinazokandamiza Sekta binafsi ikiwemo Sheria iliyoundwa kudhibiti maduka ya kubadilisha fedha za kigeni ziondolewe ili kuimarisha sekta hiyo
Amesema kuwa sheria hiyo inazuia...
Waziri wa Fedha akijibu swali "kwa nini anayetuma na anayepokea fedha wote wanatozwa?" Jibu lake limeacha swali lingine.
Hakika anayepokea anapaswa kutozwa kwa kuwa anapata kipato. Anayetuma tayari atakuwa ametozwa pale alipopata hiyo fedha hivyo hastahili kutozwa tena.
Kwa mfano alioutoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.