irekebishwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ibara ya nne ya mkataba inayolazimisha Tanzania kuitaarifu DP-World kuhusu fursa za uwekezaji irekebishwe

    Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji (2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..." Mapendekezo: Ondoa neno "itawajulisha"/"will"na badala yake weka neno "inaweza"/"May" ili Tanzania iweze kuwajulisha Dubai. Ukizingatia...
  2. Sheria ya kukamata ugoni ina kasoro, irekebishwe

    Sheria ya Ugoni inaeleza ukidakwa na mke au mume wa mtu ni kosa la madai na unaweza kulipishwa fidia kulingana na mahakama itakavyoona. Sasa najiuliza umepata mwanamke katika mazingira ambayo hujui au hajakueleza au ameficha utambulisho wa ndoa. Wewe kosa lako ni lipi? Mwanamke ametongozwa...
  3. Ulawiti adhabu yake ni miaka 30 jela bado Spika anasema anataka hiyo irekebishwe

    Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara. Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
  4. Ndoa za bomani: sheria ya kumwomba mke mtarajiwa atoe idhini ndoa imruhusu mwaaume kuongeza mke au isimruhusu irekebishwe

    kuna wanaokimbilia ndoa za bomani wakidhani watakuja kuongeza mke lakini hali huwa tofaui Kile cheti kina sehemu ya ku-tick au kuchagua kuwa ndoa yenu ni ya aina gani. Kuna ya mke mmoja na wake wengi lakini mwanamke inabidi atoe ruhusa kwa ridhaa yake kuruhusu ndoa awepo pekeyake ama kumruhusu...
  5. Mbunge Jesca Msambatavangu ataka Sheria ya Bureau De Change irekebishwe

    Akichangia hoja katika uchambuzi wa Bajeti Kuu leo Bungeni, Mbunge wa Iringa Mjini amesisitiza kuwa Sheria zinazokandamiza Sekta binafsi ikiwemo Sheria iliyoundwa kudhibiti maduka ya kubadilisha fedha za kigeni ziondolewe ili kuimarisha sekta hiyo Amesema kuwa sheria hiyo inazuia...
  6. Tozo kwenye miamala ya fedha irekebishwe

    Waziri wa Fedha akijibu swali "kwa nini anayetuma na anayepokea fedha wote wanatozwa?" Jibu lake limeacha swali lingine. Hakika anayepokea anapaswa kutozwa kwa kuwa anapata kipato. Anayetuma tayari atakuwa ametozwa pale alipopata hiyo fedha hivyo hastahili kutozwa tena. Kwa mfano alioutoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…