irene uwoya

Irene Pancras Uwoya (born December 18, 1988), is a Tanzanian actress, producer and entrepreneur she is best known for her name Irene Uwoya and for her movie role Oprah. Beginning her professional career in 2007 along with others bongo movie actors such as Vincent Kigosi, Steven Kanumba and many more.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    Irene Uwoya kaanguka Kiroho muombeeni

    KAMA UNACHEZA NA MUNGUU NDUGU HIZI NDIZO ADHABU ZAKO KIFUPI NI ALBADILI YA KIKRISTO Bwana asifiwe...... nakupa kwa uchache tu mistari ya Zaburi 109 kila anayepita njia yako anakutesa... usimjibu kuna namna ya kufanya kisha msomee zaburi hii ... tuanze mstar wa sita.. hiihabaki mtu🤣🖐 6 Uweke...
  2. Mganguzi

    Pre GE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  3. Baba Kisarii

    Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

    Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza. Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe. Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa single mshangazi. Kaibuka hivi majuzi akijiita ni pastor mchunga kondoo, mwanaume wa kumpelekea...
  4. Eli Cohen

    Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  5. Sir John Roberts

    Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

    Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii...
  6. Nifah

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake! Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika Ukatoliki, alifikia uamuzi huo baada ya kukumbwa na maswahibu yaliyotishia uhai wake. Mjane huyo wa...
  7. Hance Mtanashati

    Wabongo wamchamba kweupeeee Irene Uwoya ,wamwambia aache kulia kinafki yeye ndiye alisababosha Ndikumana afe

    Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya Ndikumana kufariki. Ndikumana na Irene walifunga ndoa mwaka 2009 na kubatika kupata mtoto mmoja wa kiume...
  8. Teko Modise

    Irene Uwoya: Ninaogea Maziwa ili kulinda ngozi yangu

    Mwigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya anasema huwa anaogea maziwa ili aweze kulinda na kutunza ngozi yake ili iendelee kuwa na mvuto. Ameyasema hayo akiwa kituo cha radio cha Clouds Fm. Nini maoni yako?
  9. MSAGA SUMU

    Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

  10. Poker

    Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

    Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya...
  11. Poker

    Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  12. JanguKamaJangu

    Wema Sepetu awafukuza Lulu, Uwoya nyumbani kwake, yadaiwa walienda kupatanishwa

    Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper na wengine kwa maelezo kwamba hawakumpa taarifa kwamba wanakwenda nyumbani kwake. Wema ameshtukia...
  13. yuda75

    Maisha anayoishi Irene Uwoya ni maisha aliishi Wema Sepetu miaka 10 iliyopita, Majuto ni mjukuu

    IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20. Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi...
  14. John Haramba

    Muna Love ajutia kufanya upasuaji wa kutengeneza mwili wake

    Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka wazi madhara yake hivi karibuni. Muna Love ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kutokana na madhara...
  15. RWANDES

    Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda...
  16. sky soldier

    Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Irene wala hatoki na Rais wa Kenya kama wengine wanauosema. Irene Uwoya anatoka na Rais wa GSM AKA Mmiliki wa yanga, GHALIB. Wana nyumba yao special kwa ajili ya kulutana na kufanya yao. Yani Irene haishi in that house ila ni kwa ajili ya kumeet tu Wakitaka kuwa free huwa wanasafirI. Irene na...
  17. instagram

    Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

    Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB. Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei...
Back
Top Bottom