Hayati Magufuli aliwahi kujitabiria kwamba Watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa Manispaa ambako tangu Magufuli afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha Magufuli...