Ugonjwa wa Utumbo hasira au "Irritable Bowel Syndrome"(IBS)
IBS ni nini?
Ugonjwa wa utumbo unaofahamika kitaalamu kama ‘Irritable Bowel Syndrome’ (IBS), ni tatizo la kawaida la mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambalo huathiri utumbo mkubwa. Ugonjwa huu husababisha kundi la dalili ambazo hutokea...