Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .
Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .
PIA, SOMA...