Sakata linalowahusisha waigizaji Jacqueline Wolper, Mulky na Isarito limezidi kuchukua sura mpya baada ya Mashalove kuibuka na kumlalamikia mtangazaji Juma Lokole kuhusu namna alivyolipeleka suala hilo kwenye mitandao.
Mashalove amemshutumu Lokole kwa kumrekodi Mulky wakati akizungumza kuhusu...