Habari wakuu,
Juzi niliota nikamuona jamaa mmoja ambaye ni mkuu wangu kwenye "kampuni" tunapofanya kazi yupo anaangalia navyopambania mchakato wangu wa kupata hela ananichek kwa jicho kama anataka kwamisha mishe yangu (na yeye ndio mkuu wa ofisi ya pesa), kesho yake kazini asubuhi namuona...