ishi kwa akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii ni Tanzania. Ishi ukiwa na akili zako

    1. Karibu bongo ambapo watu wapo bize na habari za maisha ya wasanii kuliko kufuatilia afya yake.🤗 2. Karibu bongo ambapo harusini lazima lipikwe pilau.🙄 3. Karibu bongo ambapo mtu ana funguo ya gari hana gari.🤔 4. Karibu bongo ambako ni rahisi kwa jamaa zako kuchangia pesa kwa ajili ya...
  2. Wanawake wengi wamejigeuza bidhaa tuishi nao kwa akili

    Habari za wakati huu. Ndugu kuna bidha haramu zisizo lipa kodi na hata nyingine kupigwa marufuku na mamlaka za nchi husika kama tunavyojua na ikitokea ume kamatwa na bidhaa haramu basi adhabu yake inajulikana ndugu zangu. Kama kichwa cha habari kinavyo sadifu hapo juu naendelea kwa masikitiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…