"Maafande naomba kusema jambo unajua nini ama wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningefika hadi kidato cha tano na sita hivyo basi ningekuwa daktari. Moja ya ndoto yangu iliyofifia. Na hata nisingekuwa jambazi sugu namna hii"
"Licha ya hayo ninakubali kupokea hukumu kwa uhalifu niliotenda. Mimi ni...