isis

  1. I

    Kiongozi wa kundi la kigaidi la Isis la nchini Iraq na Syria auwawa.

    Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na Syria ameuwawa. Gaidi huyo ameuawa kwenye opereseheni iliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa...
  2. M

    Trump alipomshutumu Obama na Hillary Clinton kuasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS

    Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria. Kauli hiyo ilinukuliwa na...
  3. ISIS wanajikusanya syria kumdunda assad

    Wale wamba wanaojinasibisha na uislam ilhali mate do yao siyo, wanajipanga kumuondoa madarani Assad Jamaa hao ambao waumiapo huenda kutibiwa Israel, wameonekana kuwa na morali safari hii Syria ni njia inayotumika kupeleka silaha gaza na lebanon. Wakati huohuo netanyahu na msaidizi wake...
  4. U

    Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
  5. A

    ISIS watangaza vita na Hamas

    Haya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi. Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi. Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha...
  6. I

    Mali yamuua kamanda wa kikundi cha kigaidi cha Isis aliyewaua askari wa Marekani mwaka 2017

    Wale ambao hupenda kusingizia kwamba vikundi vya kigaidi vya vinafadhiliwa na Marekani sijui watasema nini baada ya kusoma taarifa hii hapa chini 👇 ******************** Kamanda mkuu wa kundi la Islamic State anayesakwa kuhusiana na moja ya mashambulizi mabaya zaidi dhidi ya vikosi vya...
  7. Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti Afghanistan

    Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic State claimed responsibility for an attack on Monday on a mosque in Western Herat province in...
  8. Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    Waislam wakifunga hata usiyemuislam utafaidi. Sio wachoyo, Sio wabaguzi kwenye futari. Nimewahi kupanga nyumba moja na waislam ikifika mfungo sisi wakristo tulikuwa tunafaidi sana. Kikipikwa chakula cha kufuturu na sisi tumo kwenye bajeti hata kama wanajua hatujafunga. Wakristo tukifunga, mara...
  9. Vifo vyafikia 80 huku ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.

    Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina. Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA. Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine. Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa...
  10. ISIS walijifanya kubomoa sanamu za kale kwamba ni ushetani ila kumbe walikuwa wakiziuza ili ku-fund ugaidi wao

    Baada ya isis kuvamia maeneo ya Iraq na Syria ambapo ndipo ilikuwa ngome ya ufalme wa Babylon walikutana na sanamu na vivutio vingi vilivyosalia vya kale. Wallijifanya kutengeneza propaganda videos wakiharibu sanamu na vivutio vya kale wakisema ni ushetani na shirki. Ila nyuma ya pazia jamaa...
  11. Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran. ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
  12. Mwanachama wa ISIS ame ritadi. Akitoa maelezo kilichomfanya aritadi

    Kaamua rasmi kujiunga.... Daaaah..... Haya mambo haya.
  13. Somalia: Mfadhili Mkuu wa Islamic State auawa na Jeshi la Marekani

    Serikali ya #Marekani imesema Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua #BilalalSudani ambaye ni kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na viongozi wengine waandamizi 10 katika shambulio la kushtukiza. Waziri wa Ulinzi, #LloydAustin amesema Januari 25, 2023 Rais Joe Biden alitoa agizo kwa Jeshi baada ya...
  14. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  15. Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea. --- Ili kujua ukweli na kina cha habari hii tembelea Jukwaa la Jamii Check - KWELI - Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania...
  16. Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  17. RISE UP (AMKA) sehemu ya kwanza-01

    RISE UP ( AMKAA) sehemu ya kwanza *********************************** *********************************** Niliendelea kukimbia huku nikianguka na kusimama maana nilikuwa najikwaa kwenye mawe yaliyoijaza hii njia ndogo, giza nene lililotanda juu ya uso wa nchi lilikuwa ni kikwazo kikubwa katika...
  18. Nigeria: Athari za ugaidi ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya awali

    Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali. Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
  19. ISIS Msumbiji kwisha habari yao

    Zimbabwe imethibitisha kupeleka makomandoo wake Msumbiji kulisambaratisha kundi tishio la kigaidi. Hao Zimbabweans special force ni hatari katika mbinu za kimedani attacki, counter terror and offensive. ISIS Msumbiji kwishney. Saguda47
  20. Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa

    Makomandoo wa kikosi maalum kiitwacho Special Boat Service: Picha na Royal Marine ya Uingereza. Uingereza imetuma makomandoo watatu wa SAS kwenda nchini Msumbiji kusaidia kumuokoa raia wa nchi hiyo bwana Phillip Mawer ambae ametekwa na kikundi cha kigaidi cha ISIS. Gazeti la The Times la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…