Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia.
Rais George W. Bush akilianzisha
Staili hii akaja nayo kijana mtanashati, Obama...