Takriban magaidi 60 wameuwawa nchini Burkina Faso na vikosi vya ndani vikisaidiwa na vile vya Ufaransa vilivyo pelekwa nchini humo kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la Ufaransa.
Taarifa ya jeshi la Ufaransa imeeleza kwamba mara nne kati ya Januari 16 na Januari23, mwaka huu, makundi ya magaidi...