Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa kutoka Tehran
Serikali ya Iran imebadili gia angani. Sasa inafikiria kuwashughulikia moja kwa moja waliohusika na mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Hamas Ismail haniyeh badala ya kuishambulia Israel
Watuhumiwa wa mauaji hayo wakiwemo waliomo kwenye vyombo...
Breaking News ni rasmi kuwa Mossad ilimuajiri afisa Usalama wa kikosi maalum
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mpya kabisa za muda huu
Aliyetega mabomu chumbani kwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh wa hatimaye kupelekea kifo alikuwa ni afisa Usalama wa Jeshi la Iran aliyepewa kazi hiyo maalumu...
Inasemakana Bomb lililomuua Ismael Haniyeh kiongozi wa Hamas lilipandikizwa nyumba ya wageni miezi miwili kabla! Nyumba inayoendeshwa na kulindwa na The Islamic Revolutionary Guards Corps.
Inawezekanaje bomb likae mda mrefu hivyo bila kugundulika na ilikua na ulinzi mkali?
Je, Ulinzi wa Iran...
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje...
Wadau hamjamboni nyote?
Ayatollah Ali Khamenei ameongoza maelfu ya watu kuaga mwili wa Jemedari na Kiongozi jasiri wa kundi la hamas Ismael haniyeh aliyeuawa na magaidi wa Kiyahudi.
Ama Kwa hakika ameagwa kishujaa na atazikwa Doha. Taarifa kamili hapo chini.
==========
BEIRUT (AP) — Iran’s...
Katika kuthamini mchango wa kiongozi mkuu wa Hamas aliyefariki, Ismael Haniyeh tunaweza kuchukua mafunzo machache katika uongozi wake.
Kutokana na huzuni ya kumpoteza kiongozi huyo sitokwenda mbali kuangalia historia yote ya maisha yake.Machache ninayoweza kuyataja ni kama ifuatavyo.
Alizaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.