Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa...
Ilikuwa majira ya saa saba usiku na dakika 37, tarehe 31 July 2024, ndani ya jiji la Tehran nchini Iran. Mlipuko mkubwa ulisikika sehemu ambayo daima dumu usingetarajia. Mlipuko ule ukaondoka na maisha ya Ismail Haniyeh, aliyekuwa kiongozi mkuu wa Hamas.
Mgogoro wa Mashariki ya Kati umekuwa...
Kilipuzi chenye ukubwa wa inchi 3x6 , sawa na tofali la kuchoma kilichotegwa chini ya kitanda na vijana wa Ansar al-Mahdi security waliokuwa wakilinda nyumba ya wageni mjini Tehran, Iran.
Inaaminika ya kuwa walinzi hao walitumwa na mossad kutekeleza mpango huo wa muda mrefu.
Mpaka sasa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi huyu ataongoza kundi hilo la Hamas kwa muda akisubiri uteuzi wa Kiongozi wa kudumu wa kundi hilo na anaenda pia kwa jina lake maarufu Abu Omar Hassan. Serikali ya Israel inazo taarifa zote za uteuzi ila bado haijatoa maoni yeyote.
Je, unampa ushauri gani...
Baada ya Israel kumuua Kiongozi wa kisiasa wa HAMAS Ismail Haniyeh, inasemekana bado Israel inamuwinda Kiongozi wa kidini wa Iran Ayatollah Kamenei.
Kiongozi huyo wa kishia anadaiwa kutoa kauli nzito za kuiangamiza Israel baada ya Taifa hilo la mashariki ya kati kumuua Kiongozi wa Hamas Ismail...
Breaking News ni rasmi kuwa Mossad ilimuajiri afisa Usalama wa kikosi maalum
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mpya kabisa za muda huu
Aliyetega mabomu chumbani kwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh wa hatimaye kupelekea kifo alikuwa ni afisa Usalama wa Jeshi la Iran aliyepewa kazi hiyo maalumu...
Wadau hamjamboni nyote?
Ayatollah Ali Khamenei ameongoza maelfu ya watu kuaga mwili wa Jemedari na Kiongozi jasiri wa kundi la hamas Ismael haniyeh aliyeuawa na magaidi wa Kiyahudi.
Ama Kwa hakika ameagwa kishujaa na atazikwa Doha. Taarifa kamili hapo chini.
==========
BEIRUT (AP) — Iran’s...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas
Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa
Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
Katika mtazamo wa Kiislamu, kufa katika vita vya jihad kunaweza kuwa na faida na hadhi maalum, kulingana na mafundisho ya kidini. Hapa chini ni baadhi ya faida na hadhi zinazohusishwa na kufa katika vita vya jihad:
Hadhi ya Shahidi (Martyrdom):
Muislamu anayekufa katika vita vya jihad anapewa...
it was very morning in the E.A.T when the world got pulsed after hearing that the head of Hamas being eliminated by assassination attack in the soil Iran.
This act has brought attention to the world especially in the middle east, the Israel has manifested to the Islamic nations that it has a...
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.
Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.
Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za...
Wadau hamjamboni nyote?
Dada wa Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hamas ameuawa na shambulizi hatari lililofanywa na Jeshi la Israel kuamkia usiku huu
Taarifa kamili hapo chini
Mungu ibariki Israel
=====
Hamas confirms Haniyeh’s sister killed in overnight strike in Gaza
In a statement, the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.