israel mwenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Israel Mwenda umekubali kukaa miezi 6 bila timu?

    We dogo una vielement vya kutojitambua au labda unajichukulia poa kiasi kwamba timu nazo zinakuchukulia poa. Umeingia anga za usajili wa kimhemko wa Yanga ambao siku hizi wanasajili wachezaji ili kuikomoa Simba. Huko ulipokwenda umekuta mambo hayaeleweki, timu haiwezi kusajili ina madeni mengi...
  2. Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

    Mi sasa nshachanganyikiwa. Yaani si hatukona mchezaji mwingine mpaka enda chukua hii mibaki ya Simba? Aaah huyu alikuwa akikaa bench pale Singida. Kweli viongozi wangu mwatuletea mtu mwenye jina la Israel kwel kwenye team yetu? Aaah huyu acheza mpira na Simba walimwacha?
  3. Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  4. Israel Mwenda arudisha pesa zote Simba SC na kusepa klabuni hapo

    Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuridhia ombi la mchezaji Israel Mwenda kuondoka klabuni hapo baada ya nyota huyo kudai kuwa amepata timu nyingine Taarifa ya Wekundu hao wa Msimbazi imebainisha kuwa nyota huyo alisaini mkataba mpya wa miaka miwili lakini kabla ya kuanza kuutumikia, aliandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…