Hali gani?
Sifahamu Watibeli mnasalimiana vipi, hivyo naomba nitumie salamu ya kawaida ya kitanzania. Habari!
Nimeshawishika kuja na swali kufuatia vita na migogoro inayoendelea kati ya Israel na Iran.
Kwa kawaida, Wakristo wengi wapo upande wa Israel, na Waislam wengi wapo upande wa Iran...