israel vs hezbullah

  1. KakaKiiza

    Kwanini Mnaita Hezbullah, Hamas kuwa ni Magaidi?

    Nimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi. Je, wale ni Magaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina? Je katika makundi hayo yalishawai kushambulia nchi yoyote zaidi ya Israel? Kama hakuna kwanini waitwe...
  2. U

    Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

    Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo Oktoba 7 ndege za Jeshi la IDF zaidi ya 100 zimefanya mashambuluzi makubwa zikilenga shabaha na kusambaratisha maeneo takribani 120 yaliyo ngome kuu za magaidi ya Hezbollah yaliyojichimbia Kusini mwa Lebanon Shambulizi hilo la hatari lilitumia takribani saa...
  3. Championship

    Hawa ndio Hizbollah waliokuwa wanasifiwa kwa ile vita ya 2006?

    Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006. Sasa miaka 18 baadae ndio hawa waliokuwa wanasifiwa? Ninaona wakati ule Israel iliwaachia wakajiona wako vizuri lakini safari hii wayahudi wameona wamalize...
  4. Ritz

    Video nyingine inaonyesha shambulio la ndege isiyo lna rubani ikitua Israel kutoka Lebanon

    Wanaukumbi. Video nyingine inaonyesha shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah dhidi ya Israel. Jumla ya ndege 3 zisizo na rubani zilifikia lengo lao. Israel wanasema walizuia mashambuli kutoka Lebanon, Israel wamepiga marafuku waandishi wa habari kupiga picha maeneo yanayoshambulia...
  5. G

    Israel yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu

    Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel. Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba zinalipuka, watoto na wanawake wanakufa.
  6. Mlaleo

    Israel yalipua Ghala la Hezbollah Nchini Lebanon- Moto wa milipuko unaendelea kuwaka

    Explosions after an Israeli airstrike that reportedly targeted ‘Hezbollah weapons depot’ in Lebanon An Israeli strike on Monday evening targeted a Hezbollah arms depot in Lebanon's eastern Bekaa Valley, two security sources told Reuters. There were no immediate reports of casualties, the...
  7. Ritz

    Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

    Wanaukumbi. Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia Lebanon kwenda kumuua Syed Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.
  8. H

    Huu ni wakati Hezbollah anaipiga Israel vibaya mno

    Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah. Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena, Hezbollah hawa watu ni hatari sana. Hadi Marekani amemwambia Israel asiingie vitan na Hezbollah Kwa sababu...
  9. Webabu

    Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

    inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu. Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea. Iwapo...
  10. Ritz

    Hezbollah yachoma tena Israel

    Wanaukumbi. Ripoti ya roketi kugonga hoteli ya Gosher na roketi iligonga Barja moja kwa moja Kombora la "Kornet" lilitua kwenye shabaha ya kijeshi karibu na makazi ya Avivim huko Magharibi mwa Galilaya. Pia Hezbollah ilifafanua kuwa siku ya Jumatatu tarehe 07-08-2024 Mujahidina wa Islamic...
  11. uzio usio onekana

    Shambulio la Israel lamuua kamanda mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon

    Hezbollah imesema mmoja wa makamanda wake wakuu aliuawa katika shambulio la anga la Israel kusini mwa Lebanon, huku kundi hilo la waasi linaloungwa mkono na Iran likilipiza kisasi kwa msururu wa makombora dhidi ya Israel. Mohammed Nimah Nasser ndiye mjumbe mkuu wa hivi punde zaidi wa Hezbollah...
  12. Mlaleo

    Israel sasa kuwapa zawadi wale wanafiki wote - Ardhi zote anazoshutumiwa nazo West bank Gaza na Kuirejesha Sinai from Egypt

    Waziri wa mrengo wa kulia wa Israel amependekeza Kuirejesha Eneo la Sinai mikononi wa Utawala wa Israel. Waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel alituma tena ujumbe wa tweet wa kupigia chapuo kuinyakua rasi ya Sinai, Waziri wa Urithi wa mrengo wa kulia wa Israel Amichai Eliyahu...
  13. U

    Canada kuwahamisha raia wake 45,000 kutoka Lebanon huku Israel ilijiandaa kuingia vitani na Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni tete Mashariki ya kati huku hofu ya vita ikitanda Kanada inatayarisha uhamisho mkubwa wa raia wake kutoka Lebanon ikiwa vita kamili vitazuka kati ya Israel na Hezbollah, Channel 12 inaripoti. Ripoti hiyo inanukuu mazungumzo yaliyofanyika leo kati ya Waziri wa...
Back
Top Bottom