Waziri wa mrengo wa kulia wa Israel amependekeza Kuirejesha Eneo la Sinai mikononi wa Utawala wa Israel.
Waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel alituma tena ujumbe wa tweet wa kupigia chapuo kuinyakua rasi ya Sinai,
Waziri wa Urithi wa mrengo wa kulia wa Israel Amichai Eliyahu...
Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu