israel vs palestine

The Israeli–Palestinian conflict is an ongoing military and political conflict about land and self-determination within the territory of the former Mandatory Palestine. Key aspects of the conflict include the Israeli occupation of the West Bank and Gaza Strip, the status of Jerusalem, Israeli settlements, borders, security, water rights, the permit regime, Palestinian freedom of movement, and the Palestinian right of return.
The conflict has its origins in the rise of Zionism in Europe and the arrival of Jewish settlers to Ottoman Palestine in the late 19th and early 20th centuries. The local Arab population opposed Zionism, primarily out of fear of territorial displacement and dispossession. The Zionist movement garnered the support of an imperial power in the 1917 Balfour Declaration issued by Britain, which promised to support the creation of a "Jewish homeland in Palestine". Following the British occupation of the formerly Ottoman region during World War I, Mandatory Palestine was established as a British mandate. Increasing Jewish immigration led to tensions between Jews and Arabs which grew into intercommunal conflict. In 1936, an Arab revolt erupted demanding independence, which the British suppressed.
The 1947 United Nations Partition Plan for Palestine triggered the 1948 Palestine war, which saw the expulsion and flight of most Palestinian Arabs, the establishment of Israel on most of the Mandate's territory, and the control of the Gaza Strip and the West Bank by Egypt and Jordan, respectively. In the 1967 Six-Day War, Israel occupied the West Bank and the Gaza Strip (which became known as the Palestinian territories), which is now considered to be the longest military occupation in modern history, and has drawn international condemnation for violating the human rights of the Palestinians.
The conflict has claimed many civilian casualties, mostly Palestinian, since its inception. Various attempts have been made to resolve the conflict as part of the Israeli–Palestinian peace process, alongside efforts to resolve the broader Arab–Israeli conflict. Progress towards a negotiated solution between the Israeli government and the Palestine Liberation Organization (PLO) was made with the Oslo Accords of 1993–1995. The majority of recent peace efforts have been centred around the two-state solution, which involves the establishment of an independent Palestinian state alongside Israel. Public support for a two-state solution, which formerly enjoyed support from both Israeli Jews and Palestinians, has dwindled in recent years. Official negotiations are mediated by the Quartet on the Middle East, which consists of the United Nations, the United States, Russia, and the European Union. The Arab League, which has proposed the Arab Peace Initiative, is another important actor, along with Egypt and Jordan. Since 2006, the Palestinian side has been split between Fatah dominating the Palestinian Authority in the West Bank and Hamas that gained control of the Gaza Strip. Attempts to remedy this have been repeated and continuing. Since 2019, the Israeli side has also been experiencing political crisis. The latest round of peace negotiations began in July 2013 but were suspended in 2014. Since 2006, Hamas and Israel have fought five wars, the most recent of which began in 2023 and is ongoing as of May 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Video hizi zinafikirisha sana! Hivi ni kwanini Egypt na nchi nyingine 57 za Kiarabu hazitaki kuchukua wakimbizi kutoka Palestina?

    Wakuu, Kuna video za wahamiaji na vijana kutoka Palestina nimekutana nazo mtandaoni leo zimenipa maswali sana kuhusu hatma ya mgogoro huo unaendelea huko Middle East. Kuna umbali wa takriban Km 12.5 kutoka Gaza mpaka kufika Egypt. Egypt na Palestina ni nchi zilizo karibu sana ni kama Kenya na...
  2. Sitaki kuamini

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la...
  3. Huihui2

    Wapalestina Waliokufa Kuanzia October 7 Hadi Leo ni 40,005

    Wakati majadiliano ya kusitisha vita yakifikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000 Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000 Hivi vita visitishwe tu sasa
  4. U

    Rais Abbas asema ataenda Gaza hata kama atakufa, amesema Gaza yote ni Mali ya Wapalestina

    Wadau hamjamboni nyote? RAIS wa mamlaka ya Palestina Dkt Mohamed Abbas ametoa kauli ya kishujaa kuwa atatembelea gaza hata kama atapoteza maisha yake Akiongea kwa ujasiri mkubwa huku akishangiliwa na wabunge bunge la uturuki Abbas amedai kuwa Gaza yote ni Mali ya Wapalestina Amezidi kuchimba...
  5. Webabu

    Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

    inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu. Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea. Iwapo...
  6. inamankusweke

    Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Starmer anatoa wito Israel kusitisha mapigano Gaza

    Waziri mkuu starmer ameitaka Israel kusitisha Vita,kuruhusu misaada zaidi na kwamba Palestine Ina haki isiyopingika ya kitambulika Kama taifa,kwamba uingereza inaunga mkono mkondo wa mataifa mawili jirani ya Israel na Palestine "Keir Starmer tells Benjamin Netanyahu of ‘clear and urgent’ need...
  7. Ritz

    Mpango wa Netanyahu dhidi ya Wapelestina wakwama vibaya huko Ufaransa

    Wanakumbi. 🇮🇱🇲🇫 Wafaransa walitambua jaribio la Israel la kuchukua udhibiti wa Ufaransa kupitia Le Pen na kumwadhibu kwenye uchaguzi, tena. Maafisa katika wizara ya mambo ya nje ya Israel wanaiambia Haaretz kwamba Waziri wa Diaspora Chikli aliumiza uhusiano na Ufaransa kwa kumuunga mkono...
  8. FaizaFoxy

    Vita ya Ghaza imesimamishwa kimya kimya

    Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla. https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw Inaonsha kuna makubaliano ya siri ili mazayuni wagfiche sura zao. Kwani hakuna walichofanikiwa. Hams wapo na ndiyo...
  9. Bulelaa

    Kwenye mzozo wa Palestine na Israel, wawili hawa, nani alikuwa na malengo muhimu dhidi ya mwenzake? Je, yametimia?

    Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi ya Israel Wapalestine wa Tandale, wao wanakwambia, baada ya Wazayuni kujibu mapigo, eti...
  10. Ziroseventytwo

    Tuacheni utani, Gaza imechakazwa

    Nimeona na kusikia mpango wa mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka wanne wa israel wanaoshikiliwa na Hamas. Nimeshangaa sana. 1. Hamas wanafanya njni na hawa watu ambao hawana maana yoyote kwao? Na kuendelea kuwa shikilia ni kuendelea kujiweka katika mazingira hatarishi ya kushambuliwa na hata...
  11. uzio usio onekana

    Shambulio la Israel lamuua kamanda mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon

    Hezbollah imesema mmoja wa makamanda wake wakuu aliuawa katika shambulio la anga la Israel kusini mwa Lebanon, huku kundi hilo la waasi linaloungwa mkono na Iran likilipiza kisasi kwa msururu wa makombora dhidi ya Israel. Mohammed Nimah Nasser ndiye mjumbe mkuu wa hivi punde zaidi wa Hezbollah...
  12. Mlaleo

    Israel sasa kuwapa zawadi wale wanafiki wote - Ardhi zote anazoshutumiwa nazo West bank Gaza na Kuirejesha Sinai from Egypt

    Waziri wa mrengo wa kulia wa Israel amependekeza Kuirejesha Eneo la Sinai mikononi wa Utawala wa Israel. Waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel alituma tena ujumbe wa tweet wa kupigia chapuo kuinyakua rasi ya Sinai, Waziri wa Urithi wa mrengo wa kulia wa Israel Amichai Eliyahu...
  13. green rajab

    Wanamgambo wa Israel waunguzwa ndani Merkava Battle Tank

    Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu
  14. B

    Majenerali wa Jeshi la Isreal wataka vita visitishwe huko Gaza

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza habari ambazo zina trend kwa sasa ni kwa Majenerali wa Jeshi la Israel kuitaka serikali ya Netanyahu kusitisha vita huko Gaza ili mateka wakombolewe salama na pia kuepusha vita na Hesbollah ya Lebanon kitu ambacho wao wanaona hakuna msingi huo hata kama...
  15. J

    Rafah: Wanajeshi 8 wa Israel wauawa katika tukio baya zaidi tokea January!

    Najua Watanzania Hatuna habari na bajeti ila tuko busy kuwafuatilia Dr Yahaya, Masoud Kipanya na Mwijaku Niwape tu taarifa kwamba askari 8 wa Israel wameuawa huko Rafah Leo kwa mujibu wa Al jazeera news Tuzidi kuwaombea Mlale Unono --- Hamas says it carried out ‘a complex ambush against enemy...
  16. demigod

    Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

    Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote...
Back
Top Bottom