KAZI YA KUWEKA GAMES KWENYE PC/PS3/PS2
ANAHITAJIKA MFANYAKAZI MWANZA
AWE NAVIGEZO VIFUATAVYO :
1.Awe Anaishi maeneo ya mwanza mjini,mitaa ya dampo,pamba,lumumba,uhuru nk
2.Awe na ufahamu wa kuweka game kwenye PC,na PS
3.CV yenye wadhamini halali mwenye elimu yakutosha,na referees wanaopatikana...