itakuaje ukiona andiko lako miaka 2o baadaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umeshawahi kuwaza utajionane ukija kusoma ulichoandika hapa baada ya miaka 20 ijayo?

    Tuombe kwa Mungu wote tuendelee kupatiwa uzima na afya Miaka ishirini ijayo, ukisoma nyuzi zako na comments zako zitakutafakarisha nini? Kwa wale tunaogonga nondo baada ya nondo, tutaendelea kujipongeza kwa beer baridi sana na kupiga kifua kwamba tumehuskika kuwatoa mamilioni ya watu ujinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…