Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu
Wamuulize luiza mbutu na dotinata
Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni
Na ya mkia...
Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa.
Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena.
Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga.
Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
KARIAKOO DERBY
Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa.
Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni
Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.
Kwa maelezo yake anadai...
Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja.
TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.
Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
Habari zenu wana JF
Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya 1. Hiv/Aids 2. UTI na 3. Nimecheki tezi kuwa either limetanuka au Kuna cancer majibu yote...
Morocco imechaguliwa kuwa Makao Makuu ya Chama kipya cha vilabu vya Afrika kinachoongozwa na Eng.Hersi Said.
Baada ya mchakato wa ushindani wa zabuni uliohusisha Afrika Kusini, Morocco, na Algeria, Morocco iliibuka kuwa chaguo la pamoja wakati wa mkutano wa bodi ya ACA uliofanyika jana.
Makao...
Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania.
Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno.
Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya.
Nchi ya Marekani ilipata hari mpya...
USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola .
Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa .
Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda. Hii ni kwasababu ya chaguzi na mwenendo wa nchi kwa sasa. Kama akishinda Mbowe bado itamlazimu abadilishe mbinu. Hivyo Kama Lissu akishindwa bado sera za Chama zitakuwa za misimamo mikali. Lissu akishida ndiyo kabisa. Mbowe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.