itatolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Habari wana Jamii forum, kuna swali hapa na zawadi itatolewa kwa atakaepata 👇🏾

    In a survey of 100 people, participants were asked to rate their satisfaction level on three different aspects: price, quality, and customer service. The results are as follows: | Aspect | Very Satisfied | Satisfied | Neutral | Dissatisfied | Very Dissatisfied |...
  2. Posho itatolewa: naomba msaada wa kuadd custom location kwenye instagram.

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  3. Posho itatolewa: Naomba msaada wa kuadd custom location kwenye Instagram

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  4. Nolle prosequi iliyotabiriwa itatolewa kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ikifika 14.12.2021 imepotelea wapi

    https://www.jamiiforums.com/threads/terehe-14-disemba-2021-dpp-atawasilisha-nolle-kesi-ya-akina-mbowe.1936131/
  5. Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021. === Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
  6. Wizara ya Afya: Mchakato wa chanjo umekamilika, itatolewa bure

    SERIKALI imetangaza kuwa tayari mchakato wa kuingiza na kutoa chanjo ya ugonjwa COVID-19 (Corona) umekamilika huku ikisisitiza tahadhari zaidi ziendelee kuchukuliwa na wananchi. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 4,2021 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…