itel

Itel Mobile is a China based mobile phone manufacturer company headquartered in Shenzhen, China.Its products are mainly sold in Zimbabwe,India,China and some parts of Africa, South Asia, Europe and Latin America. The firm was founded by Lei Weiguo and Shenzhen Transsion Holdings Co Limited in March 2014.It mainly sold low budget smartphone and keyboardphone.

View More On Wikipedia.org
  1. Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

    Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance. Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero...
  2. MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL

    MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL East Africa Limited. Amesema masuala yanayohusu Kampuni ya ITEL East Africa Limited yasihusishwe na kampuni yake huku akionyesha wasiwasi...
  3. Simu za Tecno, Infinix, Itel, n.k ni nzuri kwa bajeti lakini zinatumia soc zilizopitwa na muda, Ni sawa na kununua gazeti jioni,

    Tatizo la hawa ndugu zetu kina tecno hawatumii Soc (System on chip) mpya, soc huwa zinashikilia Ram, camera, modem za kunasa mtandao, wifi na vifaa vingine, soc ni kama roho ya simu. Yani wao wanachofanya ni kusomba Soc za zamani zilizopitwa na muda ambazo huwa zimepungua bei, Tatizo sio soc za...
  4. B

    Msaada tutani: Itel A58

    Msaada tutani waungwana. Hapa ni screenshot ya Simu iTel A58 - android kwa juu: 1. Kushoto juu ni saa 22:19 2. Kinachofuata ni ki icon cha nini na kinatoka vipi? 3. Kinachofuata ni notification ya WhatsApp kuwa kuna new message. 4. Kinachofuata ni ki icon cha nini na kinatoka vipi? Tupeane...
  5. N

    Phone4Sale Nauza simu aina ya Itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu

    Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
  6. S

    Phone4Sale Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu

    Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
  7. Sheria itungwe watu wote wanaotumia Tecno, Infinix na Itel wawe wahujumu uchumi

    Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo. Jana tu kuna Jobless mmoja ambaye ni kabila moja kutoka Kanda ya ziwa amelipukiwa na simu moja hapo juu...
  8. Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

    Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
  9. Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

    Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena. Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana...
  10. Itel Yaanzisha maktaba Shule ya Msingi Ubungo NHC

    Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
  11. Itel kuongeza idadi ya watumiaji wa smartphone Tanzania

    Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone. Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
  12. T

    Tv Aina ya itel na ubora wake

    Habari wadau naomba kuuliza nataka ninunue tv Aina ya itel vipi ubora na uimara wake?
  13. Msaada Itel A56 haina Play Store

    Naombeni msaada namna ya kupata play store kwenye hii simu... Play store haipo kwenye app list
  14. SOLD: Itel Tv Double Glass 32 Inch inauzwa

    ITEL TV DOUBLE GLASS 32 INCH INAUZWA Hali yake: Mpya Screen Size 32 2 HDMI Port 2 USB Port VGA Port AV COAX Port RF Port Earphones jack Bei 280,000 Mawasiliano: 0768776716
  15. M

    Phone4Sale Itel A20 inauzwa bei nafuu

    Sim bado mpya kabisa Haijatumika hata chembe Ni dual Line moja tigo, nyingine yoyote Ipo Manzese Tip top Price 70 Internet yake ni 4G Sorry jamani ni A24 heading imenishinda ku edit
  16. I

    Phone4Sale Nauza simu Itel A30 kwa Tsh. 150,000/-

    Specifications: Android version 9.0.0 Ram 1gb Storage 16gb Nipo Morogoro natuma mikoa yote. 0672037238.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…