Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein.
Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo.
Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa Mwinyi alikuwepo pia.
Msiba wa Meja Jenerali Mbuge na Msiba wa Jenerali Msuguri pia alikuwa mstari wa...
Mojawapo ya mambo yanayozisaidia jamii kupiga hatua ya maendeleo ni pamoja na kujali muda.Naangalia tamasha la bulabo lililopo live TBC.Kila kiongozi anayepanda kuanza kuzungumza,anataja itifaki ya viongozi waliopo.Muda unapotea sana kabla hata mgeni rasmi hajaanza kuzungumza.Sisi kama...
Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
Inashangaza!
Alikuwa hajui masikini ya Mungu kwamba red carpet ni kwa viongozi tu.....
Angalia kuanzia hapo nilipotega....
Mjeshi wa Samia, kaitwa pembeni na kachero la kikorea
Huu utaratibu wa rais wetu kufuatwa na mwanajeshi kila hatua kila Rais anaekuja anaiga.... Monkey See, Monkey Do....
Mjeshi...
Habarini!
Kama tujuavyo, Rais Samia yumo nchini Korea ya Kusini akiendelea na ziara take ya kikazi. Suala moja nimeshindwa kuling’amua kiasi cha kuhitaji msaada wa ufafanuzi na kueleweshwa kuhusu protokali ya bendera ya nchi pindi Rais wetu awapo ziarani katika nchi nyingine.
Nimekuwa nikiona...
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao.
Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge.
Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
Bunge la Tanzania Agosti 31, 2023 limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012 ambapo pamoja na mambo mengine, itaondoa vikwazo vya kikodi na visivyo vya kikodi kwa wafanyabiashara wa Tanzania katika nchi za jumuiya hiyo.
Akizungumza na...
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.
DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.
Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha...
Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani.
Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU.
Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...
Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu.
Soma zaidi kumhusu...
Wanabodi,
Mhe. Samia alifanya ziara huko Zanzibar kwenye eneo la Kizimkazi mahali pa asili yake. Cha ajabu (sijui labda uelewa wa wengine sio ajabu) miongoni mwa viongozi wakuu watatu wa Zanzibar yaani Rais, Makamu 1 na Makamo 2 sikumuona hata mmoja hapo.
Au kwa vile ni kijijini kwake, kwa...
Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia...
Rais wetu tunampenda sana, na kwa muda mfupi amechapa kazi sana tena iliyotukuka. Ila kama ilivyoada kwa binadamu wote, ukifanya sana kazi kuna wakati unachoka na mwili unahitaji mapumziko ya kutosha.
Kuna video inasambaa kuke twitter imepostiwa kwa Maria Sarungi Ikimuonesha Rais Samia...
Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Rais alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland!
Hapo inamuondolea uwezo wa yeye kufocus katika mausala ya msingi, lakini pia hata kwenye suala la picha...
Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.