Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Rais alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland!
Hapo inamuondolea uwezo wa yeye kufocus katika mausala ya msingi, lakini pia hata kwenye suala la picha...