Msigwa kwa muda mrefu sana amekuwa na msimamo mkali dhidi ya CCM, msimamo ambao ulitokana na orodha ndefu ya mambo ambayo hakuyapenda sana ndani ya CCM, pamoja na watu wenyewe wa CCM. Lakini sasa, akakorofishana na Mbowe, au tuseme akashindwa uchaguzi ndani ya Chadema na ikawa kichocheo cha...