iundwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri: Iundwe ofisi ya mshauri Mkuu wa Taifa ambaye atawajibika kwa Baraza la Mawaziri.

    Kwako Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano. Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
  2. B

    Nashauri iundwe Tume kuchunguza vifo hivi vya Watanzania wenzetu

    SIKU za Karibuni kumeibuka wimbi la vifo vya viongozi huku sababu za vifo vyao zikifichwa na mwisho mnawekewa ratiba ya mazishi watu wanatoa hotuba za kusisimua wanaondoka wanaziacha familia kwenye majonzi makubwa hususan watoto na wazazi. 1. Kifo cha KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi...
  3. Iundwe wizara ya Matamasha "festivals"

    Hivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia; 1. Kizimkazi Festival, 2. Tulia Trust Festival, 3. Arusha Land rover Festival, 4. Majimaji Festival, 5. Wasafi Festival, 6. Nandy Festival, 7. Vespa Zanzibar Tourism Festival, Punde tutasikia Ruangwa na Buhigwe festivals...
  4. Freeman Mbowe: Iundwe Tume ya kijaji kuchunguza kifo cha Ali Kibao, Polisi hawawezi kujichunguza

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemwambia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuwa amfikishie salamu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anatakiwa kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama kuchunguza matukio ya utekaji na mauaji Nchini. Amesema Tume hiyo ambayo itachunguza pia tukio la...
  5. Taasisi ya Jeshi la Polisi Iundwe Upya!

    Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua...
  6. SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  7. Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

    Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la...
  8. Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  9. J

    Pre GE2025 Kwanini Waziri Mkuu Majaliwa asijiuzulu ili Serikali iundwe mpya

    Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi lakini bado matatizo ya wananchi yako pale pale tena ndiyo yanazidi kuwa mabaya. Ushauri wangu...
  10. R

    Mbunge Ruhoro: Wakaguzi wa ndani nao ni wezi wanashiriki kwenye dili za kuiba. Iundwe taasisi ya Wakaguzi wa ndani inayojitegemea

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro akiwa anachangia hoja amesema; Mkaguzi mkuu wa ndani wa serikali anapewa fedha kutoka wizara ya fedha na anapewa fedha na katibu Mkuu Wizara ya fedha, na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ndiye anaetoa fedha kwenye halmashauri na mamlaka zote za serikali za mitaa na kwenye...
  11. R

    Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa. Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
  12. Zitto Kabwe: Iundwe Kampuni ya Uendeshaji wa Bandari, TPA na DP World ziwe na Umiliki Sawa (50/50), Azimio sio Mkataba wa Uendeshaji

    Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe "Azimio sio Mkataba wa uendeshaji (concession agreement) wala sio Mkataba wa Uwekezaji (HGA). Azimio la Bunge ni ruhusa tu ya kuanza kujadiliana hiyo mikataba mingine. Azimio hili litakufa kibudu pasipokuwa...
  13. Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  14. Iundwe tume ya kushughulikia rushwa na urasimu katika ofisi za umma

    Habari! Hali ni mbaya sana. Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma? Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na...
  15. Kashfa ya utoroshaji wanyama pori iundwe tume huru ili ukweli ujulikane. Majibu ya Serikali hayana mashiko

    Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu. Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii. Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena. Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini? Nchi inauzwa kwa waarabu.
  16. S

    Sakata la behewa na vichwa vya treni vilivyotumika: Iundwe Tume Huru kuchunguza mchakato mzima wa manunuzi

    Kwa yanayoendelea kuhusui sakata hili(mchakato wa manunuzi), ni vema ikaundwa Tume Huru kuchunguza mchakato mzima ulivyofanyika. Watanzania tunataka kujua kama sheria husika zilifuata na kama bei ni halali kulingana na mali ilioyonunuliwa. Kuna mambo tunasoma mitandaoni mpaka tunabaki midomo...
  17. Uchaguzi wa CCM Hai Kilimanjaro waingia dosari , iundwe Tume ya CCM kufuatilia

    Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura. Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga. Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa...
  18. Ushauri: Serikali ipunguze idadi ya watumishi wa umma, iundwe serikali ndogo yenye weledi.

    Habari wananchi na viongozi! Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu. Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
  19. Suluhisho la matatizo ya bandarini: Iundwe Wizara itakayodeal na masuala ya Bandari tu

    Nimewaza hapa na kujiuliza , je, ningekuwa kiongozi ningetatua vipi kadhia za Bandari ya Dar es Salaam na Bandari zingine kwa manufaa ya taifa? Suluhisho nambari moja ni kuunda wizara maalumu itakayodeal na masuala ya Bandari tu. Bandari ya Dar es Salaam pekee inaingiza fedha nyingi zaidi ya...
  20. Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

    Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi. Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.? 👇...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…