izingatie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jingalao

    Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  2. Angyelile99

    Serikali izingatie hili

    Moja: Hesabu nyepesi, bunge la Jamuhuri ya Muungano lina idadi ya Wabunge wasio pungua 360. Kama kila Mbunge akapunguziwa msahara na posho kwa kiasi cha jumla ya sh 1500000, nanaake huyu ataweza kuajiri waalimu watatu wa ngazi ya msahara wa laki 5 hi to kwenye wabunge 360 tutapata waalimu...
  3. G

    SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
  4. Pang Fung Mi

    Mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya izingatie kupandisha vyeo Makatibu Tawala na Makatibu Tarafa, isiokoteze watu kiholela

    Hello hello JF, Utii na heshima kwa Jamhuri ni pamoja na katika jambo lolote kuambatanisha ujumbe wenye maudhui yaliojaa lugha ya utii, heshima na unyenyekevu mkubwa iwe ni katika kukubali au kukataa jambo lolote. Uteuzi wa wakuu wa wilaya ufuate utamaduni wa consultations, ama kupandisha vyeo...
  5. B

    Serikali izingatie haya ili bei ya mafuta nchini ishuke

    SERIKALI IZINGATIE HAYA SAKATA LA KUPANDA BEI YA MAFUTA NCHINI ILI YASHUKE. Na Bwanku M Bwanku. Jana Ijumaa Mei 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua Vita ya Urusi na Ukraine ilivyopaisha Sakata la Kupanda kwa Bei ya Mafuta kwenye Soko la Dunia kulikoathiri Bei...
  6. beth

    Mbunge: Serikali izingatie mambo yenye tija kwa Vijana

    Mbunge Judith Kapinga ametoa wito kwa Wizara inayosimamia masuala ya Vijana kusaidia Wizara nyingine kuona mambo yenye tija mwa Vijana Amesema masuala yanayohusu Vijana yanahitaji kuchukuliwa kwa tahadhari na umakini kwasababu changamoto ya Ajira ni kubwa Ameongeza, changamoto ya Ajira...
  7. B

    Ushauri: Mikopo ya serikali kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu izingatie na haya

    Moja ya sifa za kupata mikopo hii kikundi kinapaswa kuwa na watu kwanzia 10 na kuendelea, na kwa wenye ulemavu wanaanzia watano na kuendelea. Hoja yangu ni kwamba, kwa upande wa vijana hii sifa imeangalia kundi la vijana ambao hawana elimu kwa mapana kwasababu ni rahisi mno kwa vijana waliokaa...
Back
Top Bottom