Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Jackson Mwasenga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kujeruhiwa maeneo mbalimbali ikiwemo mkononi.
Akizungumza na mwandishi wetu akiwa katika Hospitali ya...