jadon sancho

  1. JanguKamaJangu

    Dirisha la Usajili limefungwa, Sancho atua Chelsea, Arsenal yambeba Sterling

    Winga wa Manchester United amekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mmoja kwenda Chelsea, mkataba ukiwa na sharti la kuwa wanaweza kumsajili kwa Pauni Milioni 23 ikiwa ni miaka mitatu tangu United ilipomnunua kwa pauni Milioni 73 kutoka Borrusia Dortmund. Upande mwingin, Raheem Sterling wa...
  2. JanguKamaJangu

    Tetesi: Chelsea mbioni kumsajili Jadon Sancho

    Chelsea imeonesha nia ya kumsajili winga wa Manchester United, Jadon Sancho ambaye pia anawaniwa na Juventus. Inadaiwa kuwa Raheem Sterling wa Chelsea pia anaweza kuwa sehemu ya dili litakalomeleka Sancho Chelsea, hiyo ni kwa kuwa hayumo katika mipango ya Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca Klabu...
  3. JanguKamaJangu

    Jadon Sancho aondolewa kwenye Group la WhatsApp la Man United

    Winga Jadon Sancho ambaye yupo nje ya kikosi cha kwanza cha Manchester United kutokana na kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha wake, Erik ten Hag ameondolewa katika Kundi la Wachezaji la timu hiyo kwenye Mtandao wa WhatsApp hali inayoonesha uwezekano wa kurejea kikosini ni jambo gumu Gazeti la...
  4. JanguKamaJangu

    FC Barcelona yajipanga kumsajili Jadon Sancho

    Klabu ya Barcelona inadaiwa inataka kumsajili winga huyo wa Manchester United katika usajili wa dirisha dogo la Januari 2024 baada ya kutokuwa na uhusiano mzuri na kocha wake, Erik ten Hag. Barcelona ina uhaba wa idara ya ushambuliaji kutokea pembeni baada ya kumtoa kwa mkopo Ansu Fati kwenda...
  5. JanguKamaJangu

    Jadon Sancho amezuiwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Man United

    Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag. Ametakiwa kufanya mazoezi na wachezaji wa kikosi cha vijana cha timu hiyo kwenye Uwanja wa Carrington. Sancho...
  6. JanguKamaJangu

    Borussia Dortmund yamtaka Jadon Sancho kwa mkopo

    Klabu hiyo ya Ujerumani imeonesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Manchester United katika dirisha la Januari 2024 baada ya uhusiano na kocha wake, Erik ten Hag kuyumba. Sancho alisajiliwa miaka miwili iliyopita kwa ada ya Paundi Milioni 73 akitokea Dortmund lakini ameshindwa kuonesha...
  7. JanguKamaJangu

    England: Kimenuka, baada ya kuwekwa benchi, Jadon Sancho amjia juu kocha wake hadharani

    Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
Back
Top Bottom