Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Tukuyu.
Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho Taifa (NIDA), leo Desemba 5, 2023 ambapo uzinduzi umefanyika katika Kata ya Kyimo, Tarafa ya Ukukwe.
DC Haniu ameeleza kuwa jumla ya vitambulisho 69,638 vitatolewa kwa Wakazi wa Wilaya ya Rungwe huku Kata ya Kyimo...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua ujenzi wa barabara ya Ndulilo mpaka Itete kwa Kiwango cha Lami inayounganisha Kata ya LUFINGO na KYIMO yenye umbali wa KM 11.38 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8.9, leo tarehe 24.8.2023.
Akimtambulisha Mkandarasi anayetekeleza Ujenzi wa...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi.
Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini.
Katika vituo hivyo...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara fupi tarehe 02.2.2023 katika Hospitali ya Wilaya Tukuyu (Makandana) na kujionesha shughuli za utoaji wa huduma ya matibabu zinavyoendekea sambamba na kuzungumza na wagonjwa.
Akiwa katika wodi...
🔥NI LEO, KUANZIA SAA 7 USIKU HUU, FILAMU YA ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI, KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 DUNIANI KOTE.
Na Bwanku M Bwanku.
Historia inaandikwa rasmi kuanzia Saa 7 usiku wa leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kwenye Anga za Kimataifa ambapo Royal Tour, Filamu Maalum ya...
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshiriki Uzinduzi wa Wiki ya Maji huko Simanjiro Mkoani Manyara iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Mje. Dkt. Philip Isdor Mpango.
Akitoa salamu za Wizara ya Ardhi, Mhe. Kikwete amempongeza na...
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akikagua ujenzi wa shule ya Sekondari inayojengwa katika Kijiji cha Msolwa kilichopo Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani mapema leo Jumatatu Machi 07, 2022.
“Mafanikio haya...
Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu.
Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametolea ufafanuzi kuhusu ziara za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mataifa mbalimbali ambazo zimeendelea kulifungua Taifa zaidi Kiuchumi, Uwekezaji na Biashara.
Niliwahi kuandika uzi kuhusu uelewa wa watanzania wengi upo chini ya kiwango kinachotakiwa kimataifa, na uzi wenyewe ni huu Uelewa wa mambo kwa Watanzania ni mdogo sana, Ujinga na upumbavu unaongezeka kila mwaka
Mjadala wa kujadili mtu badala ya uwezo wake binafsi ni matokeo ya watu waliokosa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea. Kumbukumbu zinaonyesha Zuhuru atakuwa mwanamke wa kwanza kushika...
Yaani ukifungua Ukurusa wa Haniu unaikuta Habari hiyo hiyo ambayo Msigwa nae ameiweka kitu ambacho nadhani kungekuwa na Utaratibu mzuri tu wa Kiutendaji basi Jukumu hilo angekuwa analifanya Mtu Mmoja pekee.
Nadhani (Ushauri wangu Binafsi) hiki Cheo cha Ukurugenzi wa Ikulu kingeongezewa pia na...
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais( Ikulu) ni nafasi mbili tofauti zenye majukumu tofauti.
Lakini kwa uteuzi wa Gerson Msigwa na Jaffari Haniu itakuwa vigumu sana kutenganisha majukumu haya na kuleta picha kwamba Gerson anamfunika Jaffari au anaingilia kazi zake.
Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.