Rais Samia amewashangaa watendaji wa Serikali kutoa leseni za biashara ndogo ndogo Kwa wageni akitokea mfano Mchina muuza Mitumba Kariakoo.
Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha sana maana nimewahi andika humu jf kwamba inkuaje Wachina wanafanya biashara ndogo ndogo badala ya...