Salam,
Huu mnanda marehemu Lupozi bwana katuachia moja kati ya sanaa/ngoma isiyochuja sababu inazungumzia hali halisi ya miaka yote katika nchi hii kutoka kwa watu wenye vipato duni.
"Maharage yapo juu kama NYAMA, 🪘 SUKARI nayo imepanda, KODI za NYUMBA kila kukicha, umeme LUKU wa kuchangisha...