Hellow!
Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba.
Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia
Chama sasa miaka yetu hii imekua ni mwamvuli wa kupiga/ kuhujumu nchi kwa maslahi binafsi...ndio maana utakuta vijana (akina Jaji Sinde...
Kuna namna tulikosea katika mchakato wakuandaa viongozi. Wakina Mzee Warioba walipoamua kujiweka kando baada ya mwalimu kung'atuka ilikuwa kosa kubwa sana.
Nchi haikuhitaji urais wa majaribio tena bali ilitakiwa inapata viongozi kwa merits. Kinachoendelea sasa hivi toka amalize muda wake mzee...
Kutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, ni wazee wawili tu: Jaji Joseph Warioba na mzee Joseph Butiku ndiyo wamekuwa wakisikika wakishauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.