Kutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, ni wazee wawili tu: Jaji Joseph Warioba na mzee Joseph Butiku ndiyo wamekuwa wakisikika wakishauri...