jaji mkuu kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mkuu Martha Koome aituhumu serikali kwa kumuondolea walinzi wake. Asema ni shambulio dhidi ya Mahakama na Ofisi ya Jaji Mkuu

    Wakuu, Jaji Mkuu Martha Koome ameituhumu serikali, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kuondoa walinzi wake, hatua ambayo ameielezea kama shambulio dhidi ya Mahakama na ofisi ya Jaji Mkuu. Koome alitoa madai hayo katika barua aliyoiandika Alhamisi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…