jake paul

  1. The Sheriff

    Baada ya Tyson kupoteza kwa Jake Paul, Evander aomba pambano la tatu na Tyson. Tyson amekataa, asema sasa ni urafiki tu!

    Wakongwe Tyson na Evander wakiwa sasa ni marafiki. Mike Tyson na Evander Holyfield wana historia ndefu na zitakazodumu kwa karne nyingi sana kwenye historia ya mchezo wa ndondi, na kama Evander anavyotaka, labda siku moja Mungu akipenda, kuna uwezekano wa nyongeza ya ukurasa katika kitabu cha...
  2. Cute Wife

    Masumbwi: Jake Paul ashinda pambano dhidi ya Mkongwe Mike Tyson

    - Jake Paul aibuka mshindi..... Score ilivyokuwa baada ya pambano. - Pambano limeishaaaaaa! - Jake anarusha ngumi huku kama anamsubiria Mike hivi, ila Mike anaonekana kachoka, zimebaki sekubde 26 - Round ya MWISHO. - Jake karisha punch mbili tatu mwishoni, round ya 7 imeisha. Wanafuta...
  3. Nehemia Kilave

    Nani ataibuka mshindi Jake Paul vs Mike Tyson?

    Leo ni mpambano mkali kati Jake paul na Mkongwe Mike Tyson nani unadhani ataibuka mshindi? Kwa huku kwetu ni saa 10 Alfajiri kesho
  4. JanguKamaJangu

    Tyson apata changamoto ya kiafya, pambano lake na Jake Paul laahirishwa

    Pambano la ndondi kati ya Mike Tyson na Jake Paul ambalo lilipangwa kufanyika Julai 20, 2024 limeahirishwa baada ya Tyson kupata changamoto za kiafya hali ambayo itaathiri ratiba yake ya mazoezi kwa wiki kadhaa zijazo Pande zote mbili zimeafiki juu ya maamuzi hayo na inatarajiwa Tyson atarejea...
  5. BARD AI

    Pambano la Mike Tyson na Jake Paul laahirishwa

    Pigano lililopangwa kati ya Mike Tyson na Jake Paul limeahirishwa. Kucheleweshwa huku kunatokana na dharura ya kiafya iliyomhusisha Mike Tyson, ambapo alipata kichefuchefu na kizunguzungu wakati wa ndege, hali ambayo baadaye ilihusishwa na kuongezeka kwa kidonda. Ingawa wawakilishi wa Tyson...
Back
Top Bottom