jam ii forums

  1. M

    SoC04 A New Dawn for Tanzania's Education System: Charting a path to Quality and Development

    In a visionary move to address the pressing need for improvement in Tanzania's education system, extensive plans should be taken to unveil, revamp and elevate the quality of education from primary to university level over the next decade. Recognizing the vital role that education plays in...
  2. KASHAMBURITA

    Kisa: Hadithi yenye mazingatio ndani yake

    HADITHI YENYE MAZINGATIO NDANI YAKE Hapo zamani za kale mtema kuni mwenye nguvu sana aliomba kazi Kwa mfanya biashara wa mbao, na akaipata. Mshahara ulikuwa mzuri sana na hali ya kazi pia ilikuwa nzuri. Kwa sababu hizo, mtema kuni aliazimia kufanya kila awezalo. Bosi wake akampa shoka na...
  3. aleesha

    Hatma ya Muungano Tanganyika na Zanzibar

    Kesho ni siku ambayo, kesi ya Madai ya Uhalali wa Muungano iliyofunguliwa na Wazanzibari wapatao 40,000 itasikilizwa. Waswahili wana maneno yao wanasema "Bora kua na adui alieelimika utanufaika, kuliko kua na Swahib mjinga". Msemo huu unaakisi hasa dhana ya Uswahib wa Zanzibar na Tanganyika...
  4. G

    SoC02 Ukosefu wa ajira, jiongeze kukuza kipato

    Ajira! Ajira! Ajira! Nimekuita mara tatu kwa maana umekuwa hafifu katika mboni za macho ya vijana wengi. Nikikumbuka wosia tofauti za babu na wazazi wangu, kichwa kinazidi kuchanganya zaidi huku nikitafakari maana yao ilikuwa ipi. Namkumbuka pia mwalimu wangu wa Kemia na Baiolojia yule wa...
  5. Lazarokakai

    Tanzania na maendeleo kwa miaka ijayo

    TANZANIA NA MAENDELEO KWA MIAKA IJAYO Kwa Hali ya Tanzania ya Sasa inahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo wa kisiasa zaidi ili maendeleo yapatikane kwa kuendana na Hali ya watanzania wenyewe. 1.Tanzania hii ya Sasa vitu vinapanda bei kila kukicha bila kuangalia Hali ya watanzania wenyewe na...
Back
Top Bottom