Kesho ni siku ambayo, kesi ya Madai ya Uhalali wa Muungano iliyofunguliwa na Wazanzibari wapatao 40,000 itasikilizwa. Waswahili wana maneno yao wanasema "Bora kua na adui alieelimika utanufaika, kuliko kua na Swahib mjinga".
Msemo huu unaakisi hasa dhana ya Uswahib wa Zanzibar na Tanganyika...