Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh.
Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo jamaa since naanza ujenzi alikuwa hajawahi kuja though mimi kwake nimewahi kwenda kumtembelea, Jamaa...