Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna kitu kibaya kama kumukumu mtu kwa mambo ambayo hakupanga yatokee kwenye maisha yake.
Sabal kheri waungwana.
Nyakati fulani nilikuwa kwenye kijiwe kimoja tukibadilishana mawili matatu ya maisha na changamoto zake na kuangalia namna gani tunazikabili.
Katika maongezi hayo likaibuka suala mambo ya ndoa kama ilivyo kawaida kuwa na yenyewe ni sehemu ya changamoto kwenye maisha yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.