Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna kitu kibaya kama kumukumu mtu kwa mambo ambayo hakupanga yatokee kwenye maisha yake.