Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Emmanuel Nchimbi.
Matembezi haya, ambayo...