Toka nakuwa na ufahamu nimeona wazazi wangu wakipambana sana, lakini bahati haijawa upande wetu, mama kavunja sana kokoto, baba nae kapambana sana lakini wapi.
Wazazi wangu wamenisomesha kwa shida sana, hadi chuo kikuu ambapo serikali ilinipa mkopo, wazazi walitegemea sana niwe mkombozi wa...