Mimi nitaondoa "UJINGA"
Kwasababu...
Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne.
Umasikini, vita, njaa, na kifo.
Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo.
Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...